Kimara ยท Dar es Salaam

Intaneti ya haraka, bei nafuu, karibu nawe.

Unganisha na hotspot ya Lema Fast WiFi, jaribu bure, kisha uchague kifurushi kinachokufaa. Vocha au malipo ya simu, bila mikataba.

โœ“ Unalipia unachotumiaโœ“ Jaribio la bureโœ“ Msaada kwa WhatsApp
Lema Fast WiFi

Karibu! Unganisha mtandaoni

๐ŸŽ Jaribu bureDakika chache, mara moja kwa siku
Anza
Weka VochaLipa kwa Simu
Kifurushi cha saaMfano wa muonekano
Chagua
Kifurushi cha sikuMfano wa muonekano
Chagua
Kifurushi cha mweziMfano wa muonekano
Chagua
Picha ya mfano, bei halisi ziko kwenye portal
Kwa nini sisi

Intaneti rahisi kutumia

Hakuna usajili mrefu wala mikataba. Unachagua muda unaouhitaji na kuanza mara moja.

โšก

Kasi nzuri

Mtandao unaosimamiwa vizuri ili kila mteja apate huduma ya haki.

๐ŸŽ

Jaribio la bure

Jaribu mtandao wetu kwanza, kisha uamue kununua.

๐ŸŽŸ๏ธ

Vifurushi vya muda

Kuanzia matumizi mafupi hadi marefu, chagua kinachokufaa.

๐Ÿ“ฑ

Lipa kwa urahisi

Tumia vocha au malipo ya simu kupitia portal ya wateja.

๐Ÿ””

Vikumbusho vya SMS

Utajulishwa kifurushi chako kikikaribia kuisha, ili usikatike ghafla.

๐Ÿ’ฌ

Msaada wa haraka

Msaidizi wa mtandaoni na WhatsApp tayari kukusaidia.

Hatua 3 tu

Jinsi ya kuunganisha

Dakika chache tu kutoka kuunganisha hadi kuvinjari.

Unganisha na WiFi

Chagua mtandao wa Lema Fast WiFi kwenye simu au kompyuta yako. Ukurasa wa portal utafunguka wenyewe.

Chagua kifurushi

Weka vocha uliyonunua, jaribu bure, au lipa kwa simu.

Vinjari

Ukishathibitishwa unaanza kutumia intaneti mara moja hadi muda wako uishe.

Wateja wetu

Wakifurahia mtandao

Mteja akitumia Lema Fast WiFi
Wateja wakivinjari kwa kompyuta
Hotspot ya Lema Fast WiFi Kimara
Kwa wafanyabiashara

Una hotspot yako? Uza intaneti kwa mfumo huu

Fungua akaunti yako, weka bei zako, tengeneza vocha na uone mapato yako, bila kujenga mfumo wowote. Wateja wako wanaona portal yenye jina na nembo yako.

๐Ÿท๏ธ

Bei na vifurushi vyako

Unaweka bei, muda na kasi mwenyewe.

๐ŸŽŸ๏ธ

Vocha na wakala

Tengeneza vocha, chapisha kadi, na wape wakala kamisheni.

๐Ÿ“Š

Ripoti za mapato

Mauzo, wateja na faida kwa siku, wiki na mwezi.

๐ŸŽจ

Portal yenye jina lako

Nembo, rangi na ujumbe wako, si wa mtu mwingine.

โœ‰๏ธ

Anza kwa dakika

Jaza fomu, thibitisha email, kisha uanze majaribio ya bure.

๐Ÿ”’

Data yako ni yako

Kila mfanyabiashara ana database yake; hakuna anayeona data yako.

Una akaunti tayari? Ingia hapa

Wakala

Uza vocha, pata kamisheni

Unataka kuuza vocha za Lema Fast WiFi? Jisajili kama wakala kwa simu au email, thibitisha kwa namba utakayotumiwa, kisha ingia kuona vocha zako na mapato yako.

Maswali ya kawaida

Una swali?

Nitapataje vocha?

Unaweza kununua kupitia portal ya wateja, au wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp.

Kifurushi cha bure kinafanyaje kazi?

Ukiunganisha kwenye WiFi yetu, portal inakupa nafasi ya kujaribu mtandao kwa muda mfupi, mara moja kwa siku kwa kila kifaa.

Portal haifunguki nikiunganisha.

Zima kisha washa WiFi, kisha fungua ukurasa wowote wa http kama neverssl.com. Tatizo likiendelea, tuandikie WhatsApp.

Vocha yangu haifanyi kazi.

Hakikisha umeandika kodi yote bila nafasi. Kama bado, tutumie kodi hiyo kwa WhatsApp tuikague.

Nipo wapi ninaweza kupata huduma?

Tunahudumia eneo la Kimara, Dar es Salaam. Uliza kwa WhatsApp kama upo karibu.

Wasiliana nasi

Tuko tayari kukusaidia

Kimara, Dar es Salaam. Tuandikie au tupigie wakati wowote.